ASA Yatarajia Kuzalisha Mbegu Tani 4,000

Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA), unatarajia kuzalisha tani 4,000 za mbegu kwa msimu huu wa kilimo ikiwa ni moja ya mafanikio yaliyopatikana baada ya ongezeko la bajeti ya wakala huo ya mwaka wa fedha 2022/23 kufikia Shilingi bilioni 47. Takwimu hizo zimetajwa hivi karibuni mkoani Morogoro na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za